MWENYEKITI WA TAWI LA MNARANI JIJINI TANGA,SHABENGA AKIZUNGUMZA KABLA YA KUMKARIBISHA KATIBU WA COASTAL UNION,KASSIM EL SIAGI
|
KATIBU MKUU WA COASTAL UNION,KASIM EL SIAGI AKIZUNGUMZA WAKATI WA HAFLA YA WANACHAMA WA COASTAL UNION TAWI LA MNARANI KUWAPONGEZA WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI WALIOTOKA KWENYE TAWI HILO KULIA NI KATIBU MSAIDIZI SALIM BAWAZIRI |
|
KATIBU MSAIDIZI WA COASTAL UNION,SALIM BAWAZIRI AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA KAMATI YA USAJILI NA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAZEE LA KLABU HIYO AKIZUNGUMZA KATIKA HALFA HIYO |
|
MENEJA WA KLABU YA COASTAL UNION,AKIDA MACHAI AKIZUNGUMZA WAKATI WA HALFA HIYO YA KUWAPONGEZA WAJUMBE WALIOCHAGULIWA KUTOKA TAWI LA MNARANI JUZI |
|
KATIBU WA TAWI LA MNARANI YENYE MASKANI YAKE MABANDA YA PAPA AKIZUNGUMZA KABLA YA KUANZA SHEREHE HIZO ZA KUWAPONGEZA WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI WALIOCHAGULIWA KWENYE UCHAGUZI MKUU ULIOPITA. |
No comments:
Post a Comment