Kikosi cha leo hiki kilichoanza dhidi ya Yanga uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
|
Waamuzi wa leo wakiwa na manahodha wa timu zote mbili Jerry Santo wa Coastal Union na Nadir Haroub wa Yanga. |
|
Uhuru Suleiman akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Yanga kwenye mechi ya leo iliyoisha kwa suluhu ya 1-1.
|
Haruna Moshi 'Boban' professional player... |
|
Kimenukaaaaaaaa mashabiki wa Wagosi wa kaya kutoka Tanga moja kwa moja mpaka uwanjani, na kutoka uwanjani moja kwa moja mpaka Tanga. Ama kweli waja leo waondoka leo.
| |
Hamad Juma akitafuta mbinui za kumtoka mchezaji wa Ynga, Mbuyu Twite huku Crispin Odula akiahidi kumsaidia. |
Hapa Nadir Haroub akijaribu kumdhibiti 'toto tundu' Yayo Kato lakini alishindwa.
|
Abdi Banda kati kati ya wachezaji wa Yanga. |
|
'Selembe' Suleiman Kassim akizongwa na Juma Abdul (12) wa Yanga.
|
Kulitokea tafrani kidogo wachezaji wa Yanga na Coastal Union, hatimaye mwamuzi akatoa kadi nyekundu kwa wachezaji wawili Odula (Coastal Union) na Simon Msuva (Yanga). |
|
Hii ndiyo penalt aliyofunga Jerry Santo dakika ya 90 baada ya David Luhende wa Yanga kuunawa mpira eneo la hatari.
Ushangiliaji ulihusu.
|
woooyyooowoooyoooo.... | |
Yanga wa maaajiii. hilo toto lao la sanamu sijui walilibeba vipi maana lilikuwa zito balaa.
Kocha wa Yanga Ernst Brants alisema 'refaree was the man of the match, he was totally unfair.'
COASTAL UNION
AGOSTI 28, 2013
DAR ES SALAAM, TANZANIA
No comments:
Post a Comment