Hapa akiwa ndani ya gari baada ya kupokewa uwanja wa ndege wa Tanga, Majani mapana. |
Yayo Lutimba Kato, akiwa nje ya kambi Coastal Union Raskazone Hotel leo asubuhi. Kwa mujibu wa meneja wa kambi Ally Ahmed 'Kiraka' Yayo amewekwa chumba namba 1 pamoja na Crispian Odula kutoka Kenya.
Picha zote kwa hisani ya Miraji Wandi 'Shoka'
No comments:
Post a Comment