Muda si mrefu jopo la uongozi wa Coastal Union litaipitisha logo hii kuwa logo rasmi ya timu badala ya ile ya awali. Wataalam wa historia wanasema logo hii ndiyo iliyotumika miaka ya nyuma ambapo imebuniwa na mbunifu maarufu wa nembo za timu yetu, Nassor Yoga.
No comments:
Post a Comment