Hapa meneja wa Coastal Union, Akida Machai wa kwanza kulia akiwa na kocha Hemed Motrocco wakati wa mechi ya kirafiki ya kimataifa Coastal Union dhidi ya 3 Pillars ya Nigeria uwanja wa Mkwakwani wiki iliyopita ambapo matokeo yalikuwa ni suluhu ya bila kufungana.
Ujirani mwema, manahodha wa timu mbili wakibadilishana nembo za timu kabla ya mechi kuanza, Coastal Union Vs 3 Pillars.
Kutoka kulia Mbwiga wa Mbwiguke, Edo Kumwembe (msemaji wa timu) na legend wa Coastal Union, Razak Yusuf Careca, wakiwa uwanja wa Mkwakwani wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment