Saturday, August 10, 2013

Coastal Union Vs 3 Pillars, Mkwakwani Tanga.

Hiki ndicho kikosi cha Coastal Union kilichoanza leo.
Hapa viongozi wa Coastal Union wakishauriana kitu wakati mechi ikiendelea.
 Watu wanasema Mbwiga amevia kwa maneno yake.... Ahaaaaa ila alichangamsha sana.

Watu walipata wasaa wa kujadi.i wachezaji.
Kazi ilikuwa kazi kwelikweli...

No comments:

Post a Comment