Saturday, February 9, 2013

Baada ya mechi Coastal Union walijimwaga Hoteli ya JB Belmont kupata chakula cha usiku.

 Salim Bawazir akijipimia matunda... hapo unagonga kiasi chako bora usibebe tu.

 Hamad Hamad Hamad baba Basmat zitakutoa roho hizi... ahahaaaa

 Aurora utaniua kwa kujitega ahahaaaa... saafi sana ukiwa na mwenyekiti namna hii, akiwa serious na kazi ni kazi wakati wa utani ni utani. keep it up wakati wa uongozi wako vijana wanakula rahaa.. haijawahi kutokea Mungu aiweke Coastal.

 Kocha Morroco na msaidizi wake Ally Kidi wakijipimia wali, kwa jaaam namuona daktar wa timu.

 Mzee Ali kwa jaaam akijipimia na yeye hakuna longolongo mwenyewe wala tani yako.

 Razak Khalfan na yeye akijipimia masuala mazima ya kitoweo, hapa kuna samaki, nyama na kuku.

 Meneja Akida akizungumza mawili matatu na meneja mwenzie wa JB Belmont tawi la Mwanza.




 Selembe na Kado.


Jerry Santo, nilimwambia leo Captain sijapata picha hata moja kutoka kwako, akanambia we si unanikimbia... tukawa tunacheka. aahahaaaa....

No comments:

Post a Comment