Juma Pondamali kocha wa makipa Coastal Union akipata chai ya asubuhi.
Ally na Bawazir wakinunua senene katika mitaa ya Bukoba, inasemekana senene ni mujarab...
Mwenyekiti Aurora, Daktari wa timu, Bawazir na Ally wakibadilishana mawazo kwenye hoteli tuliyofikia.
Hafidh Kido 'kidojembe' akionja senene baada ya kusikia wadudu hao ni mujarab.
No comments:
Post a Comment