Monday, February 11, 2013

Coastal Union inatoa Shukurani za dhati kwa ndugu Seif ambae alituhudumia vizuri katika hoteli yake kwa siku zote tulizokuwa Mwanza.

 Seif akiwahangaikia wachezaji na viongozi wa Coastal Union kupata chai asubuhi hii.

Ahahahaaa hapa ndiyo tumeingia Bukoba, hii ni mara yangu ya kumi kufika Bukoba, siku zote nilikuwa nikisikia Wahaya wanaringa lakini hii picha nadhani yenyewe inazungumza. Ahahahaaa Nyegerawaitu...Bukoba.

No comments:

Post a Comment