Picha ya pamoja hii, viongozi wa JB Belmont na timu lakini picha za chakula bado zinaendelea nimeamua kuiweka hii hapa juu kwa heshima yake tu.
Kwenye picha anaonekana daktari wa timu, mkurugenzi wa JB Belmont, mwenyekiti Aurora na meneja Akida.
Na mimi nilikuwemo....
Selembe alifundishwa table manners hawezi kukuangusha ukimpa mwaliko wako.
Huyu ni mtangazaji wa Star TV nadhani wengi mnamjua akiwa na mwenyekiti
Kit manager Mohammed
Danny akimwelekeza Mahundi namna ya kupakua... Anamwambia Mahundi, babaangu chakula hiki hakitakiwi kubakia.. kinatakiwa kiliwe...
No comments:
Post a Comment