Tuesday, March 12, 2013
Mashabiki wa simba walikuwa kimyaaa ama waliomwagiwa maji baada ya kipindi cha pili kuanza....
Kocha wa Simba Mfaransa Patrick Liewing, akiwa anampigia kelele Cholo awache mchezo huyu mtoto wa Coastal anataka sifa.
Messi alikuwa mwiba kwa mabeki wa Simba baada ya kuingia kipindi cha pili.
joseph Mahundi akitolewa nje baada ya kuumia dakika 30 ya kipindi cha kwanza.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment