Wednesday, January 15, 2014

Angalia mazoezi katika Gym ya uwanja wa soka Sultan Qaboos, leo.


Uwanja wa Sultan Qaboos unavyoonekana kwa nje.



 Yusuf Chuma akinyoosha misuli ya mabega na mgongo.


 Marcus Ndeheli akinyoosha misuli ndani ya Gym ya uwanja wa Sultan Qaboos asubuhi..

 Ally Nassor 'Ufudu', aliesimama na Danny Lyanga wakiwa ndani ya Gym asubuhi hii.

 Kenneth Masumbuko akinyoosha misuli ya bega na mgongo asubuhi hii katika Gym ya uwanja wa Sultan Qaboos.

 Jerry Santo akipiga mazoezi ya magoti na kiuno asubuhi hii.

 Behewa Sembwana akinyoosha misuli ya goti na bega leo asubuhi.

 Dokta Mganga akihakikisha vijana wake wanapiga maoezi vizuri.

 Haruna Moshi 'Boban', akinyoosha magoti katika Gym ya uwanja wa Sultna Qaboos, leo asubuhi.

 Hamad Juma aliesimama, na Said Nyoso katika Gym asubuhi hii. Wote ni mabeki wa Coastal Union.

 Golikipa wa Coastal Union, Said Lubawa akinyoosha mabega na kujaza misuli ya mkono.

 Razakh Khalfan akinyoosha misuli.

ayoub Semtawa, akipiga chuma katika Gym ya uwanja wa Sultan Qaboos, jijini Muscat leo.
COASTAL UNION
15, JANUARI 2014
MUSCAT, OMAN

No comments:

Post a Comment