Coastal Union yajifua kwa mechi ya pili ya majaribio keshokutwa.
Baadae kocha na Esry walikwenda kuangalia mazingira ya Gym kwa ajili ya wachezaji.
Alasiri vijana wakajimwaga katika fukwe za Al Sawad, kwa ajili ya kutuliza akili na kupata chakula cha pamoja.
COASTAL UNION
12 JANUARI, 2014
MUSCAT OMAN
No comments:
Post a Comment