Kocha wa magolikipa timu ya taifa Oman, akiwapa mazoezi walinda mlango wa Coastal Union, Shaaban Kado na Said Lubawa leo asubuhi katika uwanja wa Seeb, jijini Muscat.
Kocha Yusuf Chipo akipanga magoli makubwa na madogo tayari kwa mazoezi,
amesema akirudi Tanzania atatafuta mafundi wa kutengeneza magoli madogo
ni mazuri kwa mazoezi.
Mazoezi ya leo, mtu mmoja mpira mmoja, lazima watazania tuamke, vifaa vya michezo ndiyo roho ya mafanikio.
kocha wa magolikipa timu ya taifa Oman, akiwaelekeza jambo kina Lubawa asubuhi hii.
Kenneth Masumbuko na Danny Lyanga wakifanya mazoezi ya kutoa na kupokea pasi.
Mbwana Hamis Kibacha, akirudisha pasi katika mazoezi asubuhi hii.
Ally Nassor 'Ufudu; na Ayoub Semtawa wakiwa mazoezini asubuhi hii.
Othman Abdullah 'Ustadh', akimpa upaja Ayoub Masoud mazoezini asubuhi hii.
Yayo Kato akifunga bao katika magoli madogo yaliyosifiwa na mwalimu Chipo asubuhi hii.
COASTAL UNION
17 JANUARI, 2014
MUSCAT, OMAN.
No comments:
Post a Comment