Saturday, January 11, 2014

Hivi ndivyo Wagosi wa Kaya walipomchapa mtu 2-0...leo jioni.



 Mwenyekiti wa Coastal Union akiwa na mwenyekiti wa Musanaa, kabla ya kuanza mechi.

 Leo Kibacha alilazimika kutoka kipindi cha kwanza na nafasi yake ikachukuliwa na Marcus, baada ya kuumia bega na kushoto.

 Kocha wa Coastal Union, Yusuf Chipo akipewa pongezi na kocha wa Musanaa baada ya kukubali mziki.

 Mambo mazuri yalianzia darasani asubuhi...












 Hawa ndiwo makocha wa Musanaa...










Dokta wa Coastal Union akimpa huduma ya kwanza mchezaji wa Musanaa...
COASTAL UNION
11TH JANUARI, 2014
MUSCAT, OMAN

No comments:

Post a Comment