Monday, January 13, 2014
Shooping kidogo katika City Centre Mall jijini Muscat....
Kisu kimegonga mfupa, Shaaban Kado ameshindwa kujizuia baada ya kuona vifaa vyake.
Shaaban Kado kushoto, Razak Khalfan (katikati) na Ayoub Masoud, wakiwa duka la vifaa vya michezo.
Ayoub Masoud, beki mbili ya Coastal Union aliepandishwa kutoka timu B, akiangalia kiatu duka la vifaa vya michezo City Centre Mall... Haya ni matunda ya meneja Ubinde.
Ayoub Masoud, akipozi na mipira ya Brazuca, itakayotumika kwenye kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.
Ayoub na Kado wakipiga picha na masanamu ya wachezaji wa Manchester United katika duka, City Centre Mall.
Abdi Banda (kushoto), Hamadi Juma (katikati) na Shaaban Kado (kulia) wakipanda ngazi za umeme kwenye Mall..
Fahari ya macho haifilisi duka...
COASTAL UNION
13 JANUARI, 2014
MUSCAT, OMAN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment