Sunday, January 12, 2014

Tulipokuwa kisiwani leo Al Sawed....


 Wachezaji wakiperuzi blog ya Coastal Union...



 Mwenyekiti Hemed Aurora akitafakari...

 Kocha Chipo akiwacha kumbukumbu kisiwani leo jioni...







 Kocha Yusuf Chipo akitafakari mazoezi ya kesho..


 Shaaban Kado na Mbwana Kibacha wakifurahia jambo.

Kocha msaidizi, Ally Jangalu akipunga upepo katika kisiwa cha Al Sawad nje kidogo ya jiji la Muscat nchini Oman leo.
COASTAL UNION
12 JANUARI, 2014
MUSCAT, OMAN

No comments:

Post a Comment