Friday, January 4, 2013

Habari picha....

 Juma Pondamali 'Mensah' akimpa maelekezo ya mwishomwisho golikipa wake Mpongo... hii ilikuwa mechi ya juzi dhidi ya Azam.... hapa ilikuwa ni hotelini tunajiandaa kupanda Bus kuenda Amaan.

                                  Jamani Coastal kama ulayaaa... hemed Morroco akiwa darasani.


Ahahahaaa jana hii tumetoka kuangalia mechi ya Bandari na Jamhuri... nikawa nampiga picha Danny, akanambia wka kichaga 'unaniiipaa elllaa au unanimulika tuu" aahahaa wachaga kwa pesa.


Selembe katika mechi ya Azam alikaza sana... na leo kaza ileile mechi na Mtibwa uwanja wa Amaan saa kumi alasiri.

No comments:

Post a Comment