Kikosi cha le kilichoanza dhidi ya URA ya Uganda.
Walulya Derrick wa URA akitafuta mbinu za kumpita Uhuru Suleiman huku Danny Lyanga akiwa tayari kutoa msaada.
|
Jerry Santo akiminyana na mchezaji wa URA.\ |
Uhuru Suleiman leo alianza kama namba saba baadaye akapanda 11.
Danny Lyanga akisikitikia pasi iliyopotea huku mfungaji wa bao pekee la leo Masumbuko Keneth akimuuliza Danny umefanya nini?
|
Danny akitafuta mbinu za kumtoka Munaaba Allan wa URA huku kwa mbaaali daktari wa timu akiangalia picha kamili. |
|
|
Othman Tamim wa Coastal Union akipokea pasi huku akijishauri apige shuti ama apige chenga.
Kikosi cha kwanza walianza Shaban Kado, Hamad Juma , Othman Tamim, Marcus Ndehele, Juma Nyosso, Jerry Santo, Uhuru Suleiman, Crispian Odula, Dany Lyanga, Haruna Moshi 'boban', Keneth Masumbuko.
Wachezaji wa akiba walikuwa ni. Said Lubawa, Mbwana Kibgcha, Abdi Banda, Philip Mugenzi, Mohamed Sudi, Pius Kisambale, Suleiman Kassim 'selembe', na Abdallah Othman.
No comments:
Post a Comment