Wednesday, July 17, 2013

Hii ndiyo kambi ya Coastal Union...

                                             Hii ni sehemu ya kupumzikia wachezaji ama wakitaka kula.

                   Ukija hovyohovyo unaweza ukadhani kuna mamba lakini ni mapambo tu haya.

Kinachonikosha mimi ni haya maua yaliyoota kwenye ukuta.
Hapa ndipo sehemu wapishi wanapotoa chakula kwa wachezaji halafu wanakwenda kukaa kwenye vibanda.

                   Vibanda vyenyewe ndivyo hivi.... hapo kutawekwa viti na meza kuzunguka hizo bomba.

Si maua tu lakini mpaka matunda yapo.
                           Hii nyumba ina milango mingi ukifanya mchezo unaweza ukapotea.

                    Hapa ni uani ambapo wachezaji hutumia kwa kufua na shunghuli nyingine ndogondogo.

                                                           Atupele Green akifanya usafi.

Hapa panaweza kutumika kwa kutengeneza bwawa la kuogelea ama uwanja mdogo wa mazoezi, ni eneo kubwa.

Juma Nyoso akiwa na kina masumbuko chumbani.

Captain Jerry Santo (katikati) akiwa na Othman Tamim aliyesimama pamoja na Miraji Wandi mwenyekiti wa hamasa.
                                                  Tanzania one Shaaban Kado 'Bitozi'

Shaaban Kado (aliyekaa) akiwa na Uhuru Suleiman wakati wanajiandaa kuelekea mazoezini.

COASTAL UNION
17 JULAI, 2013
TANGA, TANZANIA

No comments:

Post a Comment