Mwenyekiti wa Coastal Union akiwa katika picha ya pamoja na kikosi cha timu B klabuni leo asubuhi tayari kwa safari kuelekea jijini Arusha.
Kikosi kimeshawasili na leo mashindano yameanza kati ya Azam FC kutoka Dar es Salaam dhidi ya Eagle FC kutoka Tanga ambapo Azam wameshinda 3-0.
Kesho Coastal Union watashuka dimbani kutupa karata yao ya mwanzao katika makundi lakini kwa maelezo ya meneja wa timu mpaka sasa hawajapewa ratiba kamili ya michuano lakini kuna uwezekano wakashuka dimbani na Simba SC.
COASTAL UNION
costalunion@gmail.com
6 Julai, 2013
DAR ES SALAAM, TANZANIA
No comments:
Post a Comment