Mbwana Kibacha akitafuta mbinu za kuwatoka Agaba Oscar (kulia) na Kasibante James (kushoto).
Ukisikia kuchonga ndo huku. Hapa mchezaji wa URA Ganya Willy akistaajabu Abdi Banda anavyousanifu mpira. |
Mara nyingine mbinu za kujiangusha zinasaidia kupunguza kasi wachezaji waroho kama kina Masumbuko wasitimize malengo yao.
Umeziona hizo picha tatu za juu, zamani Coastal Union ilikuwa na kamati ya zongo, lakini sasa hakuna kamati hizo tena bali kuna kamati za ushindi na hamasa. Lakini Ramadhan imewakata makali viumbe hawa.
Suala la Coastal Union kuvaa jezi nyeupe kipindi cha kwanza na nyekundu kipindi cha pili ni kutokana na makosa katika pre match meeting ambapo hawakuafikiana kuhusu rangi za sox, ikaonekana sox pamoja na fulana zinafanana kwa mbaali. coastal Union kwakuwa ni wenyeji walilazimika kubadili jezi zao na kuvaa rangi nyekundu kataaika iipindi cha pili kama utakuwa makini utaona kuna jezi nyeupe na nyekundu, usiogope.
No comments:
Post a Comment