Saturday, July 13, 2013

Leo blog ya timu ilitembelea kambi ya vijana.

 Hapa kocha Bakari Shime alikuwa anawaasa vijana kuwa kesho Tanga nzima inawaangalia wao pamoja na mashabiki wote duniani wanasubiri taarifa njema ikifika saa nne asubuhi.

                                           Kusikiliza kwa makini ni sifa ya kila mchezaji mzuri.

Mohammed Hassan kushoto na kulia ni Suleiman wakipata picha ya pamoja na kidojembe.
Kutoka kushoto meneja wa timu ndogo Abdulrahman Mwinjuma 'Ubinde', wa pili ni Abduly Farid, wa tatu Bakari Shime kocha mkuu wa timu B wakizungumza na wachezaji usiku huu.

 Hapa Abduly Farid akiwaasa Behewa Sembwana na Ally Nassor 'Ufudu' wakihakikishe kipindi cha kwanza tu ushindi unapatikana.

                                                             Umakini ulihitajika.
COASTAL UNION
13 JULAI, 2013
ARUSHA, TANZANIA

No comments:

Post a Comment