Sunday, July 14, 2013

Kulikuwa hakukaliki.



                               Gari ya Azam ikikimbia baada ya vurugu za kurushiana mawe kuzidi.




 Huyu kijana aliyelala chini ndiye aliyejeruhiwa lna Yusuf Chuma, akini baadaye mambo yakamalizwa kistaarabu.

                                   Mara gafla askari wa kutuliza ghasia wakawasili eneo la tukio.

         Hili ni gari lililobeba huyo mchezaji aliyeumizwa anaitwa Gadian Michael, alivaa jezi namba 24.


Askari walipowasili wakawaita viongozi wa timu zote mbili na kuanza kujadiliana nao, baada ya hapo wakaondoka kuelekea Hospitali kujua hali ya mgonjwa huku askari wakitoa agizo kuwa gari la Coastal Union lisiondoke mpaka watakaporudi.

COASTAL UNION
14 JULAI, 2013
ARUSHA, TANZANIA

No comments:

Post a Comment