Saturday, January 5, 2013
Azam Vs Miembeni 3-1.... Miembeni walifungwa.
Goli la Miembeni hili...
Ukiambiwa mpira kazi basi kazi yenyewe ndiyo hii.....
Miembeni na Azam. Matokeo yalikuwa ni 3-1. magoli ya Azam yalifungwa na Joackim Atudo, Gaudience Mwaikimba na Uhuru Suleiman. Na goli la Miembeni lilifungwa na Adeyoum Saleh.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment