Thursday, January 3, 2013

Wadau wa coastal blog...

kunradh,

Ndugu zangu wana Coastal najua mna kiu sana ya picha za matukio ya huku Zanzibar, lakini kuna tatizo la mtandao upo chini sana, kila ninapojaribu 'kuapload' picha zinakataa hata sijui sababu ni nini ama zinachukua muda mreeefu kukubali kama hiyo ya Juma mpongo imenichukua saa nzima kuiweka.

Ila nawaahidi mtafurahi nafsi zenu, nina zawadi a picha wala hamziwezi... zipo nyingi balaa...

costalunion@gmail.com
Unguja, Zanzibar
0713 593894
4/1/2013

No comments:

Post a Comment