Jana jioni nilikwenda kuangalia mechi ya Jamhuri ya Pemba na Bandari. Uwanja wa Mao. Bandari walichapwa 2-1 na Jamhuri. hawa wapo kundi moja na Simba na Tusker. Walishafungwa wote katika mechi zao dhidi ya Simba na Tusker. Na jana Simba walitoshana nguvu. Maana yake kuna uwezekano kundi A wakaingia Simba na Tusker.
No comments:
Post a Comment