Hili ni jumba la maajabu lilipewa jina hilo kutokana na baadh ya vitu vilivyokuwemo havikuwa vya kawaida. Mathalan lift, ambapo inadaiwa ndilo jumba la kwanza Afrika kuwa na lift... hivyo miaka hiyo karne ya 18 nyumba kuwa na lift ilikuwa ajabu sana. Pia inadaiwa nguzo za nyumba hii ndani kumewekwa mifupa ya watu, yaani kila nguzo moja amewekwa mtumwa mmoja.... mhhhh nitalifanyia utafiti hilo halafu nitupie humu....
Unguja, Zanzibar
costalunion@gmail.com
0713 503894
3/1/2013
No comments:
Post a Comment