Nyumba hii ndipo ilipozaliwa timu ya Coastal Union ipo barabara 11 Tanga, historia inasema nyumba hii ilijengwa kwa msaada wa Young Africans yaani Yanga. sasa ndiwo mahasimu wetu wakubwa... unalijua hilo? Yote hayo tutayapata baada ya blogu hii kuweka kambi mjini Tanga na kukutana na wazee....
Kausafiri ketu haka, kwa udhamini wa Simba Cement. Ingawa nabii hakubaliki kwao ila Coastal inapendwa.
Huyu ndie kocha mkuu wa Coastal Union Hemed Moroko akiwaelekeza vijana wake. Hii ilikuwa mechi ya mzungunko wa kwanza ligi kuu bara Coastal vs Ruvu Shooting tukapigwa 2-0.... Mkoa wa pwani... Mlandizi.
Haya kizaazaa hicho mkwakwani....
Huyu ni Miraji mwana wa Wandi jamani taraa...
No comments:
Post a Comment