Friday, January 4, 2013

Habari picha......... Kutoka zanzibar.




                       Usikivu katika mazoezi ni moja ya kanuni ya uchezaji bora na nidhamu ya hali ya juu...



 Eddy Shossi aka mzee wa gubu, nae alikuwepo mazoezini viwanja vya mnazi mmoja jana.


                           Aaaahh Muddy magoli wee.. hii ndiyo namba tisa yangu Coastal jamani taraa...

 Hapa kama wanasema "Naona vijana wameiva" ... "naam wameiva kuikabili Mtibwa Sugar leo saa kumi uwanja wa Amaan.."


 Ukizidiwa kushika imo jamani... Mbona hata Cannavaro wa Italy akizidiwa anashika?




No comments:

Post a Comment