Kidau nipeleke Pemba...
Hapa vijana wakijiandaa kushusha nanga.
Mimi kamanda wewe ingawa bahari ilichafuka ila sijatapika wala nini. Kuna jamaa wamefika banfdari ya malindi wa maaajiii... Hilo huwa namshukuru Mungu sana, maana tangu nimeanza kuja Zanzibar mwaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 mpaka sasa sijawahi kutapika hata siku moja.
Baadae jiandaeni kuangalia mapiiichaa kutoka kwa wachezaji wetu wa coastal.... kama kawaida.
Unguja, Zanzibar
0713 593894
costalunion@gmail.com
3/1/2013
No comments:
Post a Comment