Hapa kocha mkuu wa Coastal Hemed Moroko akijadiliana jambo na kocha wa walinda mlango Juma Pondamali 'Mensah' ambae pia yupo benchi la ufundi timu ya taifa 'Taifa Stars'.
Kikosi cha simba kilichomenyana na Coastal siku hiyo mkwakwani ila walitoshana nguvu hakukupatikana mbabe siku hiyo.
Coastal Union hawa wakiwa kamili.... Mbwa kamdindia Simba?
Jamanijamaniiii tazama Jerry Santo alivyokusanya kijiji cha Simba....
Haaayaaaaa tenaaa, nakwambia siku hiyo mambo mpelampela Simba wanakaba wannewanne...
No comments:
Post a Comment