Coastal Union wakiingia uwanjani kuwakabili Miembeni.
Vizaazaa langoni wa Coastal vilikuwa vingi ila Juma Mpongo alikuwa imara hakutaka mchezo kabisa.
Selembe akitafuta njia za kmpita mchezaji wa Miembeni.
Juma Mpongo hakuwa na masikhara langoni mwake ingawa jambo halikuwa jambo
Danny akiwa amevurugwa baada ya mchezo kuisha.
Muddy magoli huyu sijui analia?
1.Mpongo
2.Suma
3.Tamim
4.Kibacha
5.Mugenzi
6.Shengo
7.Selembe
8.Santo
9.Atupele Green
10.Lameck
Dayton
11.Danni Lyanga
Sub
1.Rajab Kaumbu
2.Hamadi
3.Lukindo
4.Mohamed Miraji
5.Mohamed Sudi
6.Hussein Messi
7.Razack Khalfan.
Sun alitoka Danny akaingia Muddy Miraji, halafu akatoka Lameck akaingia Messi tena akatoka Atupele Green akaingia Mohammed Suddy.
Coastal Union Official blog
Unguja Zanzibar
7 Jan, 2013
No comments:
Post a Comment