Friday, January 4, 2013

Game ya simba Vs Tusker jana usiku uwanja wa Amaan...

                                    Benchi la ufundi Simba likiongozwa na Jamhuri Kihwelu "julio"

                         Boban akisalimiana na mgeni rasmi waziri kutoka Zanzibar machano Khamis...

 Shomari Kapombe, huyu dogo jamani ni beki... Sisemi zaidi nisije kuambiwa mimi simba bure. Ila nilipokuwa Kampala kwenye fainali za Challenge ndiyo nilimfaidi vizuri. Na jana usiku nikamuona tena akicheza kwa uwezo uleule.... yupo juu.





Mechi iliisha kwa mabao moja moja.... ubishi ukaisha maana watu walisema Simba watafanywa kama walivyofanywa Arusha aahhh nimesahau Dar es Salaam... Wakaulizwa Dar es Salaam mliwafanyaje? Wakajibu tuliwanywisha Tusker 3... Farouk Kareem akawajibu Zanzibar watu hawanywi Tusker...

No comments:

Post a Comment