Thursday, January 10, 2013

Enzi hizo....

 Mpaka sasa timu ya Coastal Union tangu Juma Mgunda astaaf soka haijapata mshambuliaji matata kama huyu.


kikosi cha Coastal Union miaka hiyo. Kwa wanaokumbuka majina ya wachezaji hao atume kwa kutumia email costalunion@gmail.com ili tutoe faida kwa wengine.

Aidha mblog hii inaomba mtu yeyote ambae ana picha za zamani za wachezaji wa Coastal ama anakumbuko tukio lolote la kuhuzunisha ama kufurahisha kuhusu Coastal Union basi awasiliane na coastal official blog kwa namba hapo chini. tutakufuata mpaka mlangoni kuchukua taarifa ama picha hizo tuziweke humu na ukitaka kutajwa jina lako pia tutakutaja kwa faida ya wengine.

0713 593894/ 0752 593894

No comments:

Post a Comment