Bakari Shime, kocha mkuu wa Coastal Under 20 akitoa maelekezo kwa wachezaji wake katika kombe la Uhai ambapo walishika nafasi ya pili.
Watoto wakipasha misuli moto......
Hapa kutoka kulia meneja wa timu ndogo Abdulrahman Mwinjuma 'Ubinde' akiomba dua pamoja na vijana wake....
Binslum kwa jaaaam.....
Hiki ndicho kikosi cha maangamizi Coastal U/20
Hapa baada ya kuwachapa simba B....
Kocha bora wa michuano ya Uhai Cuo U/20 Bakari Shime akibebwa juu juu....
No comments:
Post a Comment