Mwenyekiti wa Coastal Union Hemed Hilal 'Aurora' kushoto akiwa na makamu wake Stephen Mnguto kulia wakimkabidhi uzi wa Coastal golikipa namba moja wa Coastal Shaaban Kado alietoka Mtibwa Sukari kwa mkopo ambapo alikuwa Yanga....
Usajili wake ulileta utata kidogo ila Menyekiti alipoongea na vyombo vya habari aliongea bila woga kuwa hakuna utata wowote maana mzigo mzima umeshasainiwa na wahusika...
No comments:
Post a Comment