Thursday, January 31, 2013

Sikiliza Udambwidambwi wa Mbwiga wa Mbwiguke ndani ya Clouds FM saa tatu usiku na Shafii Dauda kwenye Sports Extra..


MIDIFIELD KISHETI HUYOO:Magirini magirini hiv check macho,km anapiga mara kafinya anaingia nazo mwenyewe,muongo muongo hivi anatema kushoto anafukia kulia!! Msako wa nyani ngedere haponi.... Chini ya udhamini wa Binslum tire..

No comments:

Post a Comment