Ibrahim Twaha Shekue 'messi' ni miongoni mwa wachezaji waliopandishwa kutoka timu b kuenda timu a.... huyu ndie mtoto niliekwambia Rais wa TFF Tenga, alishindwa kujizuia akasema mtoto ni noma ana mpira wa burudani hatari.... kama upo Zanzibar usiku wa kesho saa mbili nenda uwanja wa Aman uone vitu vyake Coastal ikicheza na Azam Fc kombe la mapinduzi.... halaf ana miaka chini ya 20 tu....
No comments:
Post a Comment